Ararenze (Kagame) by Piano feat. Aimé Bluestone

201

Ararenze ni wimbo wa Piano The Grooveman, ndiye aliyeshughulikia kila kitu kuanzia utunzi wa mashairi hadi utengenezaji wake studioni.

Muimbaji ni Aimé Bluestone.

Wimbo unawahamasiasha Wanyarwanda kumpigia kura Rais Kagame katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Agosti mwaka huu.

Pichani: Piano The Grooveman (kushoto) na Aimé Bluestone.

Weka maoni