Waandishi Zilizoandikwa na Habari Pevu

Habari Pevu

149 Habari 1 Maoni

Urban Boys hatarini kusambaratika

Kundi la muziki wa RnB na Afropop nchini Rwanda la Urban Boys liko hatarini kugawanyika kutokana na memba wake mmoja Safi kujitoa kwenye kundi hilo. Baada ya Safi kutangaza kujitoa kutokana na kundi "kuonekana kutokuwa na mwelekeo", wadau wa muziki wanajiuliza kama kundi litaendelea kuwepo...

Mwandishi wa habari Ntamuhanga adaiwa kutoroka gereza kwa kuruka ukuta

Miongoni mwa habari ambazo zimezua gumzo nchini Rwanda ni mwandishi wa habari Cassien Ntamuhanga kutoroka Gereza la Nyamagabe kwa kuruka ukuta. Mamlaka ya Magereza (RCS) imesema Bw. Ntamuhanga na wafungwa wenzake wawili wametumia kamba kupanda uzio wa gereza. Ntamuhanga alikuwa mkurugenzi wa redio Amazing Grace mpaka alipotiwa...

Sheebah & The Ben – Binkolera (Video)

https://www.youtube.com/watch?v=i9v28hjSph8 Hiyo ndiyo video ambayo imedondoshwa na Sheebah Karungi msanii mkali wa kike kutoka nchini Uganda akishirikiana na nguli wa muziki wa RnB na Pop nchini Rwanda, The Ben. Video ya wimbo huu ilitoka miezi mitatu iliyopita ikiwa imetengenezwa na produza kutoka Uganda aitwaye Nessim. Audio ya Binkolera...

Waziri Mushikiwabo amkaba koo mkurugenzi wa Human Rights Watch

Waziri wa nchi za nje wa Rwanda amemtaka mkurugenzi mtendaji wa Human Rights Watch aende kutafuta matibabu hospitali ya magonjwa ya akili. Mahusiano baina ya Rwanda na shirika hilo la kimataifa la kupigania haki za binadamu (HRW) yanazidi kuwa mabaya. Baada ya Rwanda kusitisha ushirikiano wake...

Meya mbaroni kwa kuwasumbua wagombea urais Rwanda

Meya wa wilaya ya Rubavu Magharibi mwa Rwanda Sinamenye Jeremie na mtendaji mwingine wa wilaya hiyo wametiwa nguvuni na Jeshi na Usalama. Wanakabiliwa na madai ya kukwamisha mipango ya wagombea urais (Frank Habineza na Philippe Mpayimana). Msemaji wa Jeshi la Usalama ACP Theos Badege amesema viongozi...

Mfata by Charly na Nina (Official Video 2017)

video
Kundi la wasanii wa kike kutoka nchini Rwanda Charly na Nina limeachia video yake ya Mfata (Nishike). Iangalie video hapo juu.  

Mmiliki wa Alibaba kuanzisha miradi kabambe ya kuwanufaisha Waafrika

Mkurugenzi Mkuu Mtendaji (CEO) wa kampuni kubwa ijishughulishayo na biashara ya mtandaoni (e-commerce) nchini China, Jack Ma, amesema yuko tayari kuwasaidia Waafrika. Biliyonea huyo ambaye ndiye tajiri namba mosi barani Asia na tajiri namba 14 duniani kote, yupo nchini Rwanda katika kikao kinachoendelea cha YouthConnekt...

Mgombea urais aahidi kutokomeza njaa Rwanda

Mgombea wa chama cha upinzani cha Green nchini Rwanda Dr. Frank Habineza amesema kama atashinda uchaguzi wa tarehe 3 na 4 mwezi Agosti ataondoa tatizo la njaa. Leo (Alhamisi) Bw Habineza amezinadi sera zake wilayani Karongi Magharibi mwa Rwanda, na Huye Kusini mwa Rwanda. Katika kampeni...

Rais Nkurunziza aondoka Burundi kwa mara ya kwanza tangu 2015

Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza ameondoka nchini mwaka kwa mara ya kwanza tangu jaribio la kuipindua serikali yake kukwamishwa mnamo Mei 13, 2015. Nkurunziza ameitembelea Tanzania ambapo amekaribishwa na mwenyeji wake wilayani Ngara, akiwa amesindikizwa na mawziri wengi, kwa mujibu wa Xinua News Agency. Taarifa kutoka...

Sanjay Dutt kuifaidi Tanzania siku 21

Muigizaji mkongwe na  anayefanya vizuri kwenye soko la filamu India, Sanjay Balraj Dutt, aliyekuja Tanzania kwa ajili ya mapumziko anatarajiwa kudumu kwa siku 21 ambapo atatembelea mbuga za wanyama na vivutio mbali mbali vilivyopo nchini humo. Ujio wa Sanjay Dutt umethibitishwa na mwenyeji wake ambaye...