“Baraka the Prince ana Chuki na Jux na mimi” – Ben Pol (cheki video)

273
Baraka the Prince na Ben Pol

Hivi karibuni msanii kutokea Bongo Flevani Baraka the Prince aliingia kwenye headlines baada ya kuukosoa wimbo wa mwanamuziki Ben Pol “Tatu”na kusema wimbo ni mbaya na haukustahili mtu kupiga picha bila ya nguo kwa kiki ya wimbo kama ule.

Sasa leo June 9, 2017 Ben Pol ametoa ya moyoni akiwa kwenye Ayo TV na millardayo.com akielezea kinachoendelea baina yake na Baraka The Prince hasa baada ya maoni kuhusu wimbo huo na namna alivyoyapokea.

Weka maoni