Bill Gates aitengea Tanzania Tsh. Bilioni 777

169

Tajiri namba moja duniani, Bill Gates ambaye yeye na mkewe wanamiliki Taasisi ya Bill and Mellinda Gates imetenga Tsh. Bilioni 777 kutekeleza miradi ya afya, kilimo na mifumo ya kKielektriniki ya upatikanaji taarifa hapa nchini.

Soma taarifa kamali

Weka maoni