Blac Chyna ndani ya mapenzi mapya na Rapper Mechie.

130

Tupilia mbali mapenzi ya Rob Kardashian, Blac Chyna ndani ya mapenzi mapya na rapperMechie.

Tuna kama wiki hivi tangu kutokea kwa vurugu mechi kati ya Blac Chyna na Rob Kardashian, baada ya Rob kuposti picha za utupu za Chyna kutokana na sababu kubwa ambayo Chynakuamua kuchepuka kwenye mahusiano yao.

Newz ni kwamba rapper Mechie ameonekana kuwa amefall kwa mrembo Blac Chyna kwa kuchora tatoo yake shingoni ambapo inasemekana pia wawili hao wameshaonekana sehemu tofauti tofauti pamoja, kupitia akaunti ya Instagram Blac Chyna aliposti kipande cha video hiko akiwa na rapper huyo.

 

BC

A post shared by Blac Chyna (@blacchyna) on

//platform.instagram.com/en_US/embeds.js

Weka maoni