Burudani

Burudani

Hapa zipo makala za wasanii, nyimbo mpya na vitu vingine vihusuvyo wanamuziki hasa wale wa Afrika Mashariki. Tutumie ujumbe pepe kwa info@habaripevu.com au utupigie simu kwa (+250) 785756423. Tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu.

Sitegemei ulinzi wa polisi nina ulinzi wangu binafsi – Floyd Mayweather Sr

Baba mzazi wa Mwanamasumbwi maarufu duniani, Floyd Mayweather Jr ameshindwa kuzuia hisia zake kwenye ishu ya ubaguzi  wa rangi na kudai endapo atabaguliwa au...

New Video: Lava Lava – Dede

Msanii wa muziki kutoka label ya WCB, Lava Lava ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Dede’ baada ya kufanya vizuri na wimbo wake...

Will Smith kushiriki kwenye filamu inayoelezea maisha ya Obama

Muigizaji kutoka Hollywood – Marekani, Will Smith amepata dili jipya la kuigiza katika filamu itayaoelezea maisha ya Rais wa 44 wa nchini hiyo, Barack...

The Weeknd kubadilisha jina lake kwenye muziki

R&B star Abel Tesfaye ameweka wazi mpango wake wa kuacha kutumia jina lake maarufu la The Weeknd kwenye muziki. Staa huyu anasema anafikiria kuacha au kupumzisha jina lake la The...

Tiwa Savage ajiita Malkia wa Muziki Africa

Msanii wa muziki kutoka Nigeria ambaye yupo katika lebo ya Roc Nation, Tiwa Savage amejipachika jina jipya ‘Malkia wa Muziki Africa’. Kupitia mtandao wa Snapchat...

New Video: Harmonize – Sina

Baada ya kutamba na video yake ya Happy Birthday ambapo imetazamwa mara milioni 1.7 katika mtandao wa Youtube. Leo ameachia kazi yake mpya ambayo...

Ujumbe wa Rick Ross kwa mashabiki wake vijana

Mbali na kufanya muziki wake kupendwa kila kona ya Dunia, rapper Rick Ross ameamua kutumia ustaa wake kufikisha ujumbe kwa vijana wadogo kupitia mtandao wa Snapchat. Rapper huyo...

Miss Mutesi Jolly ampa tano Kagame na chama tawala

Miss Rwanda 2016 Mutesi Jolly amewatolea mwito vijana kumchagua Paul Kagame ambaye anasaka mhula wa tatu kwa tiketi ya chama cha RPF-Inkotanyi. Mrembo huyo amesema...

Alicia Keys kuja Rwanda mwezi ujao

Hatimaye imethibitika kuwa nguli wa muziki kutoka Marekani Alicia Keys atakuja Rwanda mwezi ujao kwa ajili ya Kigali Up Festival. Mwezi uliopita waandaaji wa tamasha hilo...