Michezo

Michezo

Karibu sana ndugu msomaji upate habari kali za michezo kwa lugha adhimu ya Kiswahili. Kama una lolote la kutufahamisha tutumie ujumbe pepe kwa info@habaripevu.com au utupigie simu kwa (+250) 785756423. Tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu.

Klabu ya Simba kumpandisha kizimbani mchezaji wake

Uongozi wa klabu ya Simba kupitia Afisa habari wake, Haji Manara wamesema wamedhamiria kumpeleka Mahakamani Kiungo Pius Buswita ambaye alisaini baada ya kutoa Lugha...

Simba sasa kukabidhiwa Ngao ya Jamii mbele ya Azam

Shirikisho la Soka nchini Tanzania (TFF) limerekebisha Ngao ya Jamii upya kwa ajili ya klabu ya Simba baada ya ile ya awali kukosewa kuandikwa...

Michezo ya VPL yabadilishwa kupisha mechi ya kirafiki ya Taifa Stars

Bodi ya Ligi (TPLB) ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imefanya mabadiliko ya ratiba ya michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara kwa...

Arsenal yakubali kichapo kutoka kwa Liverpool EPL

Arsenal imekumbana na kipigo cha aibu kwenye Ligi Kuu ya England baada ya kutandikwa 4-0 na Liverpool katika dimba la Anfield. Liverpool waligawa dozi...

Mchezaji Lionel Messi aweka rekodi mpya La Liga

Mshambuliaji wa klabu ya Barcelona, Lionel Messi baada ya kufunga mabao mawili jana usiku dhidi ya klabu Alaves, ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa...

Mo Farah ayaaga mashindano ya Uwanjani kwa ushindi

Mwanariadha raia wa Uingereza, Mo Farah ameyaaga vyema mashindano ya kukimbiza upepo ndani ya uwanja baada ya kufanya vizuri Jijini Zurich katika mbio za...

Simba yatwaa Ubingwa wa ngao ya Jamii kwa kuifunga Yanga

Klabu ya Simba SC imechukua ubingwa wa Ngao ya Jamii 2017 kwa mikwaju ya penati dhidi ya watani wao wa jadi Yanga SC katika...

Mwamuzi wa mpira wa miguu auawa kwa kupigwa risasi

Mwamuzi maarufu katika mchezo wa kandanda nchini Somalia amepigwa risasi na kuuawa karibu na nyumbani kwake mjini Mogadishu wakati akirejea nyumbani kwake mtaa wa Wardhigley...

Buffon, Messi na Cristiano Ronaldo kuwania tuzo ya mchezaji bora UEFA

Nyota watatu, Cristiano Ronaldo, Lionel Messi na Gianluigi Buffon wameingia kwenye orodha fupi ya mwisho ya kuwania tuzo ya mwanasoka bora wa mwaka wa...

Real Madrid yatwaa ubingwa wa Super Cup mbele ya Barcelona

Timu ya soka ya Real Madrid jana imeididimiza klabu ya Barcelona magoli 2 - Bila majibu katika Fainali ya Pili ya Super Cup. Ikumbukwe...