Mkito

Mkito

Hii ni sehemu ya kusikiliza na kupakua nyimbo kali. Tunahakikisha hupitwi na ngoma pevu. Kama una lolote la kutufahamisha tutumie ujumbe-pepe kwenda info@habaripevu.com au utupigie simu kwa (+250) 785756423. Karibu sana.

Ni Kagame, wimbo mpya wa Bishop Matare unaomsifia Rais Kagame

Bishop Matare ambaye ni mtangazaji wa kipindi cha Ongea na Redio Salus cha Redio Salus inayomilikiwa na Chuo Kikuu cha Rwanda ametoa wimbo wa...
video

Too much – Jay Polly feat Urban Boys, Bruce Melody, Uncle Austin, Khalfan &...

'Too much' ni miongoni mwa video ambazo zimezua gumzo mitandaoni nchini Rwanda hasa kutokana na maudhui yake ambayo kidogo yamekinzana na maadili ya jamii. Wimbo...

Ni mwe mwabiteye, wimbo mpya wa rapa Edsha

Rapa Edsha ameachia wimbo mpya aliouita Ni mwe mwabiteye (Nyinyi ndio chanzo) ambapo anawalaumu marapa wenzake kwa kusababisha muziki wa rap uyumbe. Amesema marapa nchini...
video

Jay C awakemea marapa mateja ‘wanaokuwa kama sabuni’

Baada ya miezi mingi bila kutoa wimbo mpya, Rapa Jay C kutoka nchini Rwanda amerudi na wimbo wa 'I am back' aliomshirikisha Bruce Melody. Katika...

Frankay arudi kwenye muziki na ngoma mbili baada ya kimya kirefu

Msanii wa RnB na Afrobeat kutoka nchini Rwanda Kayiranga François 'Frankay' amerudi kwenye muziki baada ya kimya cha miaka miwili. Leo hii (Jumapili) ametuletea ngoma...
video

Sinahemuka – Western Boys & Mr HU

https://soundcloud.com/janvier-nshimyumukiza/sinahemuka-by-western-boyz-ftmr-hu-aimabi-proholystone-music Lengo letu ni kukuletea nyimbo kali. Huu hapa unaitwa Sinahemuka (Siwezi kukuzingua/kukuumiza), ni wimbo wa mapenzi wa kundi la muziki la Westen Boyz la...