Habari

Habari

Lengo letu ni kukuletea habari pevu kuhusu matukio yanayojiri Afrika Mashariki. Kama una lolote la kutujuza tutumie ujumbe pepe kwa info@habaripevu.com au utupigie simu kwa (+250) 785756423. Tunakukaribisha kwa moyo mkunjufu.

Polisi 92 walazwa hospitali wakihofiwa kuugua kipindupindu

Maafisa 92 wa polisi nchini Kenya wamelazwa hospitalini Nairobi na viunga vyake wakihofiwa kuugua ugonjwa wa kipindupindu, wizara ya afya nchini humo imesema. Maafisa hao...

Wapinzani Tanzania waanza na mgomo Bungeni

Wabunge wa Kambi ya Upinzani Bungeni wamesusia kuapishwa kwa wabunge saba Viti Maalumu wa Chama cha Wananchi (CUF) katika mkutano wa nane Bunge la...

Tarehe ya kurudia uchaguzi nchini Kenya yatajwa rasmi

Baada ya Mahakama ya juu kufuta matokeo ya uchaguzi nchini Kenya, hatimae Tume ya Taifa ya uchaguzi nchini humo (IEBC), imetangaza tarehe mpya ya...

Marufuku mifuko ya plastiki yaanza kufanya kazi Kenya

Marufuku ya matumizi ya mifuko ya Plastiki nchini Kenya imeanza kutekelezwa  jana ambapo mtu yeyote atakayekutwa akiuza, kutengeneza au kuitumia mifuko hiyo atakabiliwa na...

Walimu mbaroni kwa kufanya mapenzi na wanafunzi

Walimu wawili waliokuwa wakifanya mazoezi kwa vitendo katika shule ya sekondari ya Kikala wilayani Lushoto mkoani Tanga wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kosa...

Mtu mmoja afariki na mwingine kujeruhiwa kwa kukanyagwa na Tembo

Kijana Emmanuel Ernest wa kitongoji cha Ilolo, Mvumi Misheni wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma, amefariki dunia baada ya kukanyagwa na tembo huku mwingine akijeruhiwa...

Bosi wa kampuni ya Samsung ahukumiwa miaka 5 Jela

Mahakama ya Korea Kusini imemuhukumu bosi wa kampuni ya Samsung, Lee Jae-yong kifungo cha miaka mitano jela kwa kosa la utoaji rushwa. Bilionea huyo ambaye...

Breaking: Ajali ikihusisha treni na daladala, yaua Morogoro

Watu ambao idadi yake haijaweza kufahamika mara moja, wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa, baada ya daladala waliyokuwa wakisafiria kugonga treni mkoani Morogoro. Akithibitisha kutokea kwa...

Waziri Mwigulu atishia kuwafuta uraia Watanzania Wapya mkoani Katavi

Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mwigulu Nchemba ametishia kuwafuta uraia Watanzania wapya wa Katumba mkoani Katavi ambao walikuwa wakimbizi kwa muda mrefu...

Sitegemei ulinzi wa polisi nina ulinzi wangu binafsi – Floyd Mayweather Sr

Baba mzazi wa Mwanamasumbwi maarufu duniani, Floyd Mayweather Jr ameshindwa kuzuia hisia zake kwenye ishu ya ubaguzi  wa rangi na kudai endapo atabaguliwa au...