Gor Mahia tayari wawasili Tanzania kukipiga dhidi ya Everton Alhamis

178

Kuelekea katika mchezo wa Sport Pesa kati ya Gor Mahia kutoka nchini Kenya dhidi ya Everton kutoka Uingereza, klabu ya soka ya Gol Mahia kutoka nchini Kenya imewasili nchini Tanzania tayari kuwasubiri Everton.

Na hizi ni picha za Wachezaji na viongozi wa Gor Mahia walivyotua Dar Es Salaam.

Weka maoni