Karibu sana msomaji upate habari pevu

331

Jama jina la tovuti linavyoeleza, lengo letu ni kukuletea habari za kuaminika na zenye umuhimu kwako, huku tukikuhamasisha pia ukichangamkie Kiswahili.

Habari Pevu ni chombo cha habari kutoka Kigali nchini Rwanda, ikiwa na maana kwamba habari nyingi tunazoziandika ni zile zinazoihusu Rwanda.

Tunakuletea pia habari kutoka Eneo zima la Maziwa Makuu na kwingineko duniani, kwa lugha adhimu ya Kiswahili.

Usipitwe.

Wazo moja

Weka maoni