Kampuni ya PUMA pamoja na Jay Z watengeneza kiatu chenye jina la album ya ‘4:44’

143

Kama utakumbka Wiki chache zilizopita kulikuwa na stori kwamba rapper Jay Z atashirikiana na Puma katika kusapoti Tour yake ya “4:44”, ukiachana na kusapoti Tour yake, Pumawameamua kuja na sneaker zenye lebo ya Album hiyo ya “4:44”.

Kupitia kurasa ya twitter ya memba wa Puma @sneakerboxClyde, aliamua kushare picha ya mwonekano wa Sneaker hiyo mpya ambayo ni kolabo kati ya Jay z pamoja na Puma zenye nembo ya Album ya “4:44”.

 

//platform.twitter.com/widgets.js

Weka maoni