Leicester City imekamilisha usajili wa Kelechi Iheanacho kutoka Manchester City

107

Leicester City imekamilisha usajili wa Kelechi Iheanacho,20, kutoka Manchester City kwa ada ya pound milioni 25, Kelechi amesaini Mkataba wa miaka mitano.

Kelechi alisaini mkataba wa mpaka mwaka 2021 na Man City ila muda wake ulianza kupungua uwanjani baada ya kufika kwa Gabriel Jesus.

Weka maoni