Lukaku afunga goli lake la kwanza kwa Manchester United

129

Alfajiri ya leo Mbelgiji Romelu Lukaku amefunga bao lake la kwanza tangu ajiunge na club ya Manchester United katika mchezo wa kirafiki ambao United imecheza na club ya Real Salt Lake ya Marekani.

katika game hiyo United iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 ambapo Henrik Mkhitaryanalifunga bao lingine la United.

Video ya Goli hii hapa.

 

Weka maoni