Manchester City yakamilisha usajili wa beki kutoka Monaco

206

Klabu ya Manchester City imemsajili beki wa AS Monaco, Benjamin Mendy  kwa pauni milioni 52.

Mendy anakuwa beki wa tatu wa pembeni kusajiliwa na Kocha Pep Guardiola kwa ajili ya msimu ujao.

Mpaka sasa City imetumia pauni million 133 kusajili mabeki wa pembeni hali jambo ambalo limekuwa likiwashangaza wengi wadau wengi wa soka.

Weka maoni