Manchester United vs Manchester City live streaming..

122

Mechi kwa ajili ya msimu wa Pre Season kati ya Manchester City dhidi ya Manchester United inachezwa huko Marekani.

Manchester Derby ya kwanza kabisa kupigwa nje ya Uingereza ndo ambayo inaendelea tangu Manchester Derby hii iasisiwe mnamo 12 Novemba 1881 Mechi ya kwanza ilipigwa huku Manchester City wakiwa wanafahamika kama “St. Mark’s (West Gorton) na Manchester United ikifahamika kama “Newton Heath” zama za wahenga wenyewe kabisa.

Unaweza kufuatilia mchezo wote hapa.

 

Weka maoni