Mtandao wa WhatsApp waongoza kwa matumizi

138

Mtandao wa kijamii wa WhatsApp umebainika kutumiwa na watu Bilioni moja kwa kila siku.

Mnamo mwaka jana mtandao huo ulikuwa na watumiaji bilioni moja ila sasa idadi hiyo imekuwa ni ya wanaotembelea kila siku, inadaiwa kuwa katika watu kumi kati ya watu wanane hadi saba wanatumia mtandap huo. Mitandao mingine inayoongoza kuwa na watumiaji wemngi kwa siku ni Facebook , Instagram na Messenger.

Utafiti uliofanyika mwaka 2014 na Chuo Kikuu cha Pittsburgh cha Pennsylvania nchini Marekani, ulibaini  kuwa alisimia 71 ya wanotumia mitando ya kijamii  ni vijana na hutumia kila baada ya dakika 10.

Weka maoni