Nchama The Best Ft. Dully Sykes – Tufanye Kesho Official Video.

167

Bila shaka utakuwa si mgeni wa Tamasha la Fiesta ambalo hufanyika nchini Tanzania kwa miaka zaidi ya kumi iliyopita.

Kabla ya tamasha kufanyika huwa kuna kitu kinaitwa “Fiesta Super Nyota” ambapo huwa anatafutwa msanii mmoja kutoka mtaani ambae ana kipaji na kushindanishwa kutoka ngazi ya mkoa hadi kufikia ngazi ya Taifa ambapo mchezaji mmoja hupatikana.

Mwana 2016 kijana mmoja amabe ni msanii wa Hip Hop anaefahamika kwa jina la Nchama The Best ambae ni mzaliwa wa Mwanza mkoa ambao umetoa Wana Hip Hop wakali kama Fid Q, Young Killer na wengineo.

Ameachia video ya wimbo wake wa pili tangu ashinde Fiesta Super Nyota ambapo amemshirikisha mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva Dully Sykes.

Unaweza kuangalia video yake hapa.

 

Weka maoni