Nemanja Matic kutoka Chelsea rasmi mchezaji wa Manchester United

106

Klabu ya soka ya Manchester United imethibitisha kumsajili kiungo wa Chelsea Nemanja Matic.

Matic amesajiliwa na United kwa mkataba wa miaka mitatu huku ada yake ya uhamisho ikiwa ni kiasi cha paundi milioni 40.

Man United wamethibitisha usajili wa mchezaji huyo kupitia mtandao wao wa Instagram.

“We are delighted to announce the signing of Nemanja Matic from Chelsea on a three-year contract. #MaticIsRed ,” wameandika kwenye mtandao huo.

Weka maoni