New Video: Harmonize – Sina

154

Baada ya kutamba na video yake ya Happy Birthday ambapo imetazamwa mara milioni 1.7 katika mtandao wa Youtube. Leo ameachia kazi yake mpya ambayo inaitwa SINA.

Unaweza kuitazama hapa.

 

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=nuLx7gXkt6s]

Weka maoni