New Video: Lava Lava – Dede

282

Msanii wa muziki kutoka label ya WCB, Lava Lava ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Dede’ baada ya kufanya vizuri na wimbo wake uliopita ‘Tuachane’.

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=FvShlGAk6vk]

Weka maoni