Ni mwe mwabiteye, wimbo mpya wa rapa Edsha

300
Edsha

Rapa Edsha ameachia wimbo mpya aliouita Ni mwe mwabiteye (Nyinyi ndio chanzo) ambapo anawalaumu marapa wenzake kwa kusababisha muziki wa rap uyumbe.

Amesema marapa nchini Rwanda wamekuwa wakinywa madawa ya kulevya ambayo yaliwafanya wasiweze kufanya muziki mzuri na hivyo kuwazingua wapenzi wa rap.

“Nguvu ambayo muziki huu wa rap ulikuwa nao hazipo tena na wengi wenu (marapa) ndio chanzo,” anaimba Edsha.

Weka maoni