PICHA: Romelu Lukaku ameanza rasmi kufanya mazoezi na Man United.

893

Baada ya kusubiria kwa hamu kujiunga na Manchester United akitokea Everton, Romelu Lukaku ameanza mazoezi na timu yake hiyo mpya.

Lukaku ambaye amesajiliwa na United tangu wiki iliyopita kwa ada ya uhamisho unaodaiwa wa paundi milioni 75. Mchezaji huyo anatarajiwa kuanza kuonekana akiwa na jezi ya Man United katika mechi zake za kirafiki za hivi karibuni zitakazochezwa huko nchini Marekani.

Lukaku ameichezea Everton kwa misimu minne akitokea Chelsea. Hizi ni picha nyingine za Lukaku akiwa mazoezini na wachezaji wenzake wa Manchester United.

Weka maoni