Picha: Studio mpya ya Rayvanny wa WCB

744

Ikiwa imepita miezi miwili tangu boss wa WCB, Diamond Platnumz aweke wazi kuwa Rayvanny anatarajia kufungua studio hatimaye imekamilika.

Kama ilivyokwisha tangazwa kuwa prodyuza Rash Don ndiye atahusika katika kusuka beat ndani ya studio hiyo, hadi sasa wasanii kama Dogo Janja na Madee wameonekana wakijiachia ndani ya studio hiyo, pengine kuna kazi inakuja. Tazama picha zaidi.

Weka maoni