Rais Magufuli azindua stendi ya kisasa ya mabasi

227

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Mgufuli leo amefungua stendi ya kisasa ya Mabasi Korogwe mjini mkoani Tanga.

PICHA NA IKULU

Weka maoni