The Weeknd kubadilisha jina lake kwenye muziki

128

R&B star Abel Tesfaye ameweka wazi mpango wake wa kuacha kutumia jina lake maarufu la The Weeknd kwenye muziki.

Staa huyu anasema anafikiria kuacha au kupumzisha jina lake la The Weeknd, ila hajatoa taarifa atatumia jina lipi baadae au kwenye kazi zake mpya, au je atarudi kwenye jina lake halisi la Abel Tesfaye.

The Weeknd amesema hana haraka ya kufanya maamuzi haya.

Weka maoni