Tiwa Savage ajiita Malkia wa Muziki Africa

143

Msanii wa muziki kutoka Nigeria ambaye yupo katika lebo ya Roc Nation, Tiwa Savage amejipachika jina jipya ‘Malkia wa Muziki Africa’.

Kupitia mtandao wa Snapchat mrembo huyo aliweka picha yake akijiita jina hilo huku akimshukuru mbunifu wa mavazi yake kwa kumfanya aonekane mrembo katika video yake mpya ya ‘Informate’.

Weka maoni