Too much – Jay Polly feat Urban Boys, Bruce Melody, Uncle Austin, Khalfan & Marina

477

‘Too much’ ni miongoni mwa video ambazo zimezua gumzo mitandaoni nchini Rwanda hasa kutokana na maudhui yake ambayo kidogo yamekinzana na maadili ya jamii.

Wimbo huu ni miongoni mwa ngoma ambazo zinagongwa mara kibao maredioni na hata katika vilabu vya starehe.

Umekutanisha wasanii wenye majina makubwa ambao ni pamoja na Jay Polly, wasanii watatu wa kundi la Urban Boys (Safi, Nizo, Humbe), Bruce Melody ambaye anasikika tu lakini haonekani kwenye video, Uncle Austin, Khalfan na mwanadada Marina ambaye ni msanii anayechipukia.

Edsha afungukia penzi lake na Marina: Uncle Austin na The Ben ndio waliliharibu

 

Weka maoni