Ujumbe wa Rick Ross kwa mashabiki wake vijana

135

Mbali na kufanya muziki wake kupendwa kila kona ya Dunia, rapper Rick Ross ameamua kutumia ustaa wake kufikisha ujumbe kwa vijana wadogo kupitia mtandao wa Snapchat.

Rapper huyo aliamua kuandika maneno ya busara kwa mashabiki zake  wadogokutoka kona yote ya Dunia kwa kuwaambia kwamba “Stay Focused, Remain Focused, Take care of ya Family, Get a Team of solid People, Put a plan Together Execute it, Don’t these Nigga Tricks yU, Stop Screaming over your phone, Go live counting a Million, Inspire These Young Niggas to get Money, the Most”

Weka maoni