Video ya gari alilojizawadia Tory Lanez siku ya kuzaliwa kwake

152

Tory Lanez aamua kujitunuku zawadi katika siku yake ya kuzaliwa kwa nunua ndinga mbili.

Kama ulikuwa karibu na ukurasa wake wa Instagram, Tory Lanez aliamua kuwaonyesha mashabiki zake zawadi zake alizojinunulia katika siku yake ya kuzaliwa ikiwa kama kujipongeza na kushukuru kwa mungu, ndani ya posti hiyo aliisindikiza na caption ya “When I was kid I used to say I’d be successful and blessed enough at 25 to have the the cars/ and properties that I wanted . My birthday bout 2 weeks away .. and I’m sitting back looking at all that I established ….all I can say is thank GOD.”

 

//platform.instagram.com/en_US/embeds.js

Weka maoni