Wallace Karia rais mpya wa shirikisho la soka Tanzania TFF

220

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) hatimaye limepata rais mpya ambaye ataliongoza kwa muda wa miaka minne kabla ya kufanyika tena uchaguzi Mkuu.

Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi  wakili msomi, Revocatus Kuuli amemtangaza, Wallace Karia kuwa rais mpya wa TFF baada ya kupata jumla ya kura tisini na tano huku akiwaacha wapinzani wake mbali.

 

Weka maoni