Will Smith kushiriki kwenye filamu inayoelezea maisha ya Obama

99

Muigizaji kutoka Hollywood – Marekani, Will Smith amepata dili jipya la kuigiza katika filamu itayaoelezea maisha ya Rais wa 44 wa nchini hiyo, Barack Obama.

Kwa mujibu wa mahojiano aliyofanya na James Corden kupitia kipindi cha The Late Late Show, Smith amesema kuwa Rais huyo aliyepita amempatia ruhusa ya kuigiza katika filamu hiyo itakayoonyesha maisha yake.

“I talked to Barack about it. He told me that he felt confident that I had the ears for the role,” amesema Will Smith ambaye alishawahi kuigiza maisha ya bondia Muhammad Ali ambaye alifariki mwaka jana.

Weka maoni