Wizkid aamua kumunfollow Drake kwenye kurasa yake ya Instagram.

98

Hapa ndipo naanza kukumbuka ule msemo wa Dj Khaled aliosema kwamba “Kupata nafasi ya kufanya kazi na Drake sio kazi nyepesi”, Msanii Wizkid aamua kumunfollow Drake kwenye kurasa yake ya Instagram.

Ayodeji Ibrahim Balogun maarufu kama Wizkid ambaye anatamba na mixtape yake ya Sounds From The Other Side ambapo humo ndani unakutana kolabo za wasanii wakubwa tofauti tofauti wakiwemo Drake,Ty dollar Sign, sasa bad newz ni kama Wizkid amemuunfollow rapper Drake kwenye kurasa yake ya Instagram kwa kile kinachotajwa kutokuwepo kwenye video zake za Come Closer.

Lakini ukitazama upande wa pili wa Drake bado Kamfollow Wizkid, Ukiwa mmoja ya mashabiki wa Wizkid, kwa hili jambo alilofanya Wizkid ni sawa kumunfollow Drake kisa kutokuwepo kwenye video zake.

Weka maoni